Music

Download lyrics Video Mp4 | Jay Melody – Nakupenda

 

Download  lyrics Video Mp4 | Jay Melody - Nakupenda

Download  lyrics Video Mp4 | Jay Melody – Nakupenda

DOWNLOAD

Sharif Said Juma, better known by his stage name Jay Melody, is a multitalented Tanzanian musician, singer, songwriter, and prolific hitmaker who recently released the gorgeous song Nakupenda.

Related | Jay Melody – sugar

REPEATABLE LYRICS

Jay Melody – Nakupenda Lyrics

Iwe giza Baridi na upepo

Iwe kuna mawingu Na minyesho

Your body Baby joto (joto..)

Unafanya nijihisi special

unanipa sababu ya uwepo

kando yako we mtoto

my desire, we nipe dawa

mi mahututi, sijielewi ooh my GOD

shida ni nimekolea penzini

shida ni baby uko moyoni

Nakupenda we, nakutaka we

kwako sijiwezi, Ooh mylove

mpenzi we roho yangu we

kwako sijiwezi ooh mylove

Listen more……