Bien – Inauma –Bien, a recording artist and pop singer from Kenya who is also a part of the well-known all-boy band Sauti Sol, which has been widely regarded as Kenya’s most successful group over the past few years, has released a new single titled “Inauma.”
Quatable Lyrics
Kukosana na wewe sikutarajiaKuwa mbali na wewe aki umeniacha pabayaKutengana na wewe imenibadilisha sanaNimetamani nilewe aki nakunywa nasazamana
Naambia nini watu ReginaHaya mapenzi yalinogaNakumbuka tulipeana majinaLeo baby, kesho tomatoMitandaoni ikaleta fitinaUkawa huambilikiNami kichwa changu na kikavimbaNikawasisemezeki…!
Inauma inauma lakini nitazoeaInauma inauma lakini nitazoeaHali ya mwanaume duniani nikuzoeaHali ya binadamu duniani nikuzoeaNdio nashindwa
Densi ooh densi, densi tulikamata hadi usiku wa mananeKesi ooh kesi, kesi tukakubali tutapendana mileleNyimbo ooh nyimbo, nyimbo tulizopenda zanikumbushanga weweKamisi ooh kamisi, kamisi na biker uliwacha nanusanga ndio nilale
Nitaambia nini watu ReginaHaya mapenzi yalinogaNakumbuka tukilabata na biaParty after partyShetani gani alituingiliaAkatuweka asanderIlovito pahali imenifikishaI’ll never love another… Like!
Inauma inauma lakini nitazoeaInauma inauma lakini nitazoeaHali ya binadamu duniani nikuzoeaHali ya mwanaume duniani nikuzoeaNdio nashindwa
Inauma inauma lakini nitazoeaInauma inauma lakini nitazoeaHali ya binadamu duniani nikuzoeaHali ya mwanaume duniani nikuzoeaNdio nashindwa
Download Video Mp4 | Bien – Inauma